AFYA - PENGO.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii na Watoto, Ummy Mwalimu akiwa na Mkuu wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, Profesa Mohamed Janabi (kushoto), alipomtembelea Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, juzi. (Picha na Wizara ya Afya).